JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA FEDHA

BARAZA LA MASOKO YA MITAJI

Matukio Katika Picha
Mwenyekiti wa Baraza Jipya la Masoko na Mitaji, Mhe. Jaji Dkt. Deo Nangela akiendesha kikao cha kuwasikiliza wadau wa fedha, Masoko na Mitaji waliokaribishwa kufanya majadiliano yanayohusu sekta ya Uwekezaji wa Masoko na Mitaji, katika kikao kilichofanyika leo Septemba 19, 2024 Jijini Dar es salaam